May 6, 2013

NAY WA MITEGO AFANANISHWA NA DEM....CHID BENZ AMTUNGIA JINA NA KUMUITA " NEEMA WA MITEGO" ..Ugomvi wa chini chini kati ya Chid benz na Ney wa mitego sasa umefikia pabaya.....


Juzi Ney wa mitego alionja kichapo toka kwa mashabiki katika show yake mbagala....Inadaiwa kwamba Varangati hilo lilitokana na madai yake kwamba Chid benz ni shoga na ametoboa pua kama dem....


Mapema mchana huu Chidi Benz amefunguka kupitia ukurasa wake ya Facebook na kumtaka NEEMA WA MITEGO(Neema ni jina la kike ) aache kumtukana wala kumwandika message zozote.....Vinginevyo ataendelea kuambulia kichapo

Hivi ndivyo alivyoandika.