Jun 3, 2013

STEVE NYERERE KAPIGWA KIPAPAI


Mwaija Salum na Joan Lema

STAA wa sinema za Kibongo, Steve Mangere ‘Steve Nyerere’ ameweka bayana kuwa anahisi amerogwa baada ya kuanza kujisikia vibaya huku akiugua magonjwa ya ajabuajabu na mkono wake wa kulia kuvimba bila sababu za msingi.

Steve Mangere ‘Steve Nyerere’.

Akizungumza na Stori 3, Steve alisema kuwa mkono huo umevimba ghafla hali inayompa wasiwasi mkubwa kwa sababu hajajua chanzo chake ndiyo maana anahisi kuwa atakuwa amepigwa ‘kipapai’.

“Mimi nakwambia nitakuwa nimerogwa tu si bure, huu mkono…