Jun 3, 2013

VIDEO: MELI YA MIZIGO YA MV. ARAFAT YATEKETEA KWA MOTO KATIKA BANDARI YA TANGAMeli ya mizigo ”Mv Arafat” inayofanya safari zake kupeleka shehena ya mizigo katika nchi jirani ya Kenya , Zanzibar na Mtwara Imeteketea kwa moto katika bandari ya Tanga kwa kile kinachodaiwa kuwa hitilafu umeme.