Jul 26, 2014

ALICHOKISEMA LULU BAADA YA ALI KIBA KUACHIA NYIMBO MPYA

Elizabeth Michael 'Lulu'.

Kupitia Account yake ya Instagram msanii wa filamu, Elizabeth Michael 'Lulu' amefunguka kuhusiana na Ali Kiba kuachia nyimbo mbili kwa mpigo.

Muonekano wa alichokisema Elizabeth Michael 'Lulu' Instagram.

Hiki ndicho alichokisema:

"Haya sasa.....maelezo hatimaye yamepatikana....mnivumilie ni marefu Kidogo...!

1. Pongezi kwa @officialalikiba nimesikia Mwana wa Dar es Salaam tu lkn kiukweli Mimi binafsi umenikonga moyo...!

2. Ieleweke kwamba Mimi ni shabiki wa mziki mzuri hata ukiwa umeibwa na underground na wengi wenu mmekuwa mashaidi maana huwa na post video nikiimba miziki ya watu tofauti hata wasio mastar wakubwa...kwahyo mm sio shabiki wa mtu ni shabiki wa kazi ya mtu

3.Nimegundua wasanii wengi wa Tanzania tuna U mimi....hivi ulaya wangekuwa hvyo...Hollywood c    kungekuwa na mtu mmoja tu au wawili basi....nadhani umefika muda wa wasanii Kama wasanii        kila mmoja kujiamini ktk kazi Zake na kufikiria kufanya makubwa sio kufikiria kushindana na    flani.....tena tukishirikiana tutaweza kufika mbali zaidi ya hapa...tutaendelea kila cku kuona maajabu  wenzetu Nigeria wanafika mbali....wanajielewa na wanashirikiana...!Kama binadamu kukoseana    kupo ila ukijua kosa kuomba msamaha na kuendelea na maisha ndo busara zaidi
4.Hapa sasa....nieleweke jmn...Mashabiki wetu Tunawapenda sawa....lakini kwa namna moja au            nyingine Mashabiki mnchangia bifu za wasanii....JAMANI Ukiwa shabiki wa Lulu haimaanishi          umchukie Wolper(mfano)Kama ww ni shabiki wa mtu sio umchukie msanii mwingine na hii              kwakweli ninaiona Tanzania tu(thou sio Mashabiki WOTE)

5. Mwisho...WOTE tunategemeana wasanii tupendane tukiona wenzetu flani wana shida tusaidie           kuondoa tofauti na Mashabiki pia nyie ndo msaidie kupatanisha watu sio kuchochea ugomvi....           Mungu alivyotuumba wengi alikuwa na maana yake sasa we ukitaka uwe Mkali pekeyako                   ungeumbwa mwenyewe ukawekwa kwenye dunia ya pekeyako tukusome kwenye history dunia         flani
    Kuna mtu mkali yuko pekeyake..!duh nimechoka kuandika lkn cjamaliza.....bt I real wish wakali         mngeungana mfanye mambo makubwa....naamini inawezekana...!"

0 comments:

Post a Comment