Jul 27, 2014

Hussein Machozi Afumaniwa Na Mke Wa Kiongozi Nchini Kenya Na Kupokea Kichapo Cha Mbwa Mwizi.

Star wa Bongofleva nchini Tanzania Hussein Machozi anadaiwa kufumaniwa na mke wa kongozi mmoja wa kisiasa nchini Kenya ambaye anadaiwa pia kuwa mfanyabishara mkubwa. media za kenya jana na leo zimekuwa na headlines kuhusu issue ya msanii huyo.
Habari zinadai kuwa kwa muda mrefu Machozi amekuwa na uhusiano na mke wa kigogo huyo na kula tunda lakini jamaa mwenye mali amekewa akimuwekea mtego bila mafanikio ila jana ukanasa. Indaiwa jamaa huyo ni mtu wa kusafiri sana nje ya nchi ndiyo maana mkewe akapata nafasi ya kujiachia na msanii huyo. Hbari zinasema kuwa machizi alipokea kichapo cha mbwa mwizi baada ya issue hiyo na kuamriwa kurudi Tanzania. Ingawa bado Machozi mwenyewe hajotoka wazi na kusema ni kweli aua kukanusha.

Mtandao wa Standardmedia wa nchini Kenya umeandika...............................

The late evening Monday news, that controversial Tanzanian artiste Hussein Machozi had been caught pants down with a Mombasa politician’s wife spread like bush fire. From Kenya to Bongoland, the showbiz arena was all abuzz.
Hours before the rumour broke on social media, a little bird called Pulse, hitching to spill the gossip. “Have you heard the big one,” our informer charged. “Hussein Machozi... he is in trouble,” the snitch went on before starting to spill the juice he had overheard. Even though the news could not be confirmed as Hussein Machozi had reportedly been ‘deported’ back to Tanzania and his phone went unanswered, in another hour, a top Mombasa blog posted the piece blaring it with this long catchy headline: “MSANII HUSSEIN MACHOZI APOKEA KICHAPO CHA MBWA NA KUPEWA MASAA 24 KUONDOKA HAPA NCHINI KENYA”.

It sounded astonishing, so damning like a fellow caught doing drugs in Singapore. “Msanii huyu mashuhuri wa bongo flavor leo hii katika hoteli flani ya kitalii hapa jijini Mombasa alijipata matatani baada ya kupatikana akiwa na mke wa kiongozi flani mashuhuri wa hapa nchini. Yasemekana mheshimiwa huyu amekua akimkulia timing Machozi bila mafanikio lakini leo siku arobaini zilitimia kwake msanii huyu mkosa adabu,” read the Blackstar Entertainment update whose Facebook link had been copied to the Pulse editor.

In a nutshell, the writer was insinuating that Machozi had been having a secret affair with a top politician’s wife and after learning of it, the politician had been tracking the two all along until this day when he ‘caught them’. “Msanii huyu alipatikana red handed na mke wa kiongozi huyo kwa kitanda na hapo ndipo masaibu yakamkumba na kuamrishwa aondoke hapa nchini kwa masaa aliopewa,” the dossier concluded and so with an exclamation: “Je, wewe kama shabiki wake wamshauri vipi?” Some Facebook responses were as hilarious as the reports.

One Job Chilibasi reasoned that the news would not stop a steamy affair as ‘watakutana huko bongo’ while Pettie Nashipai added that ‘utamu wa maisha, kipendacho roho dawa...ashapata Hussein, ashapata yake mbona mwamgeuzia?” What more to add ...for that is this week’s dispatch from the Coast!

0 comments:

Post a Comment