Jul 8, 2014

kali ya mwaka Rubani wa ndege ya South African Airways [SAA] avua nguo na kubaki uchi mbele ya abiria wa ndege na kuleta zogo

Rubani wa shirika la ndege ya Afrika Kusini, South African Airways amekamatwa na askari wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Harare baada ya kuvua nguo zake zote mbele ya abiria na wahudumu wengine wa ndege hiyo na kubaki na nguo ya ndani.

Hata baada ya kuvua viatu, kifaa hicho kiliendelea kutoa mlio kila akipita eneo la ukaguzi, ambapo aliamriwa kutoa mkanda wa suruali yake na alipofanya hivyo kifaa hicho kiliendelea kutoa mlio hali iliyomkera rubani huyo na kuamua kuvua nguzo zake zote na kubaki na nguo ya ndani, hali iliyowalazimu polisi kumkamata.

Kufauatia tukio hilo, zaidi ya abiria 90 waliokuwa wasafiri na ndege hiyo walilazimika kusubiri kwa saa tano hadi pale alipopelekwa rubani mwingine...

0 comments:

Post a Comment