Jul 18, 2014

Mmiliki mabasi, Happy Nation, Hai atukana abiria

WAKATI Makampuni ya usafirishaji abiria yakiongezeka nchini, huku mengi yakiwa makapjni ya wachina, mmiliki wa Kampuni ya mabasi ya Happy Nation anadaiwa kutukana abiria wake matusi ya nguoni. Kwa muujihu wa vyanzo vya uhakika kutoma kwa abiria wanaosafiri na mabasi hayo katika mikoa ya Arusha, Mbeya, Dodoma na Mwanza, inadaiwa kwamba bosi huyo amekuwa hodari wa kutoa matusi ya ngioni.

Imeelezwa kwamba sababu ya tajiri huyo kutoa matusi ya nguoni inatokana na mabasj yake kuharinika hovyo wakati wa safari kiasi cha kuhatarisha maisha ya abiria,. Wakizungumza na Habarimpya.com kwa masharti ya majina yao kutoandikwa mtandaoni baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni hiyo inayomiliki magari ya Happy Nation na Hai walikiri kuwepo  kwa tabia hiyo hata hivyo wakamtetea kwa madai kwamba bosi wao anasumbuliwa na matatizo ya presha.
"Nikweli kwamba bosi amekuwa akitoa matusi ya nguoni kwa abiria wake hasa pale wanapompigia simu kuomba msaada wake wakati magari yanapokuwa yanaharibika, hii Iinamchanganya sana kwani wakati mwingine unaweza kukuta magari mawili ama matatu yameharibika kwa wakati mmoja na kwa mikoa tofauti, hivyo abiria wanalazimika kumpigia simu kwakuwa huwa hawatuamini tunapo waeleza kwamba, tunatengeza gari ama kuna gari kutoka mkoa mwingine unakuja kuwachukuwa"alisema mmoja wa wafanyakazi hao.

Hata hivyo abiria hao walisema kwamba  bosi huyo mwenye lafudhi ya kabila la wachaga amekuwa akitukana matusi kila wakati, "Huyu jamaa amekuwa akichanganyikiwa bure kwa sababu magari yake ni mabovu yanapasuka matairi ovyo, yanaharibika kila wakati na hayana uhakika wa kufika mwisho wa a safari, mbaya zaidi yanahatarisha maisha ya abiria, lakini ukimwambia anakuwa mkali nakutoa matusi ya nguoni, matusi yake ni 'msenge, kumamayo, mbwa wewe kama magari yangu mabovu usipande, je ninani alifuatwa nyumbani kwake ili  apande magari yangu.ashakum si matusi "alisema Joseph Samuel ambaye alikutana na shida hiyo wakati akisafiri na mabasi hayo kutoka Moshi kwenda jijini Dar es Salaam.

0 comments:

Post a Comment