Jul 19, 2014

NICK MINAJ JE NDIYE MALKIA WA RAP DUNIANI?

Rapper wa kike Nick Minaj ameachia style yake mpya ambayo ameweka mashairi huku akijisifia kwa kusema kwa sasa yeye ndio malkia wa Hip hop kote ulimwenguni,Mashairi hayo yamekuja wakati Rapper huyo aliandaa albamu yake mpya ambayo tayari ameshaipa jina The Pink PrinK

0 comments:

Post a Comment