Jul 19, 2014

Tarajia kumuona VJ Penny kama mtangazaji kwenye show kubwa ya TV

Mambo yanazidi kumnyookea Ex wa Diamond Platnumz, Penniel Mungilwa aka VJ Penny kwakuwa licha ya kuvishwa pete na kumponya kidonda alichoachiwa na hitmaker huyo, ameendelea kupata deals baada ya deals.

Penny akipitia script ya kipindi

Mtangazaji huyo wa redio na runinga, ataanza kuonekana hivi karibuni kwenye show inayohusu filamu za Tanzania itakayoonekana kwenye kituo cha TV cha kimataifa kinachoonekana Afrika Mashariki.

Penny na Rio Paul

Katika kipindi hicho, Penny atakuwa akishirikiana na mbunifu wa mitindo Rio Paul.

0 comments:

Post a Comment