Aug 17, 2014

MWILI WA MTU MMOJA AMBAYE NI ALBINO UMEKUTWA UMETUPWA MAENEO YA SEGEREA KINYEREZI HUKU UKIWA UMETOLEWA MACHO YOTE SAMAHANI KWA PICHA HIZI


Inasadikiwa mtu huyu amekuja kutupwa eneo hili kutoka eneo jingine ambalo halijajulikana bado.Mwili huu umekutwa eneo hili  la segerea kinyelezi jiji Dar es salaam na watoto ambao walikuwa wakikata miwa huku ukiwa umeharibika na umekatwa shingo na kung'olewa macho yote mawili  na mpaka sasa hajafamika tayari police wamechukua mwili huo kwa uchunguzi

0 comments:

Post a Comment