Aug 20, 2014

SHUHUDIA SAKATA LA KIBAKA ALIYETOROKA KITUO CHA POLISI


Mwizi aliyetoroka kituo cha akiwa chini ya ulinzi wa raia wenye hasira kali maeneo ya vingunguti msimbazi.


Raia wakipanga kumchoma moto kibaka huyo.

Kibaka aliyetoroka kituo cha polisi Tabata hatimaye kukukamatwa majira ya saa tano asubuhi maeneo ya msimbazi vingunguti na kurudishwa kituoni.

1 comments:

Post a Comment