Oct 27, 2014

Diamond Platnumz Ni Miongoni Mwa Wanamuziki 10 Waliobadilisha Muziki Wa Afrika.Diamond
Juhudi na bidii za Diamond Platnumz katika muziki zinaonekana  hata katika vituo vya kimataifa. Channel O imemtaja Diamond Platnumz kama mmoja wa wanamuziki walioleta mabadiliko makubwa katia mziki wa Africa kupitia kipindi chake cha Top Ten Most ambacho kinatangazwa na Jokate Mwegelo na Ice Prince katika msimu wake huu mpya. Katika list hiyo Diamond amewekwa nafasi ya kumi akiwa pamoja na Fally Ipupa kupitia wimbo wake wa My Number 1 aliomshirikisha Davido.

List nzima hii hapa...........

10.Diamond Platnumz and Fally Ipupa9. Mafikizolo and Flavour8. Ice Prince and Naeto7. Tiwa Savage and Wizkid6.Dj Jimmyjat and Dj Waxxy5. Banky W and P-Square4. Knaan3. D'Banj and Don Jazzy2. Boom Shaka1. 2 Face Idibia

0 comments:

Post a Comment