Oct 9, 2014

Halima Mdee na wenzake waendelea kusota rumande

Hapa ni safari ya kurudishwa rumande ilipoanza. Watuhumiwa wakishuka chumba cha mahakama.

 Mdee (wa nne kulia) na watuhumiwa wenzake wakielekea mahakamani.


Gari la polisi likiwa tayari kuwepeleka rumande.

Ulinzi ulivyokuwa mahakamani.


Gari la wafuasi wa Chadema likiwa nje ya mahakama.


 Mdee na wenzake wakitoka mahakamani.


Gari la polisi likiondoka mahakamani.
MBUNGE wa Jimbo la Kawe na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha) Halima Mdee (Bawacha) na wanachama wengine wenzake walipelekwa rumande kufuatia kutokamilika kwa uhakiki wa hati za dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar e Salaam.
Watu hao walifunguliwla mashitaka mahakamani hapo  kwa madai ya kutotii amri ya polisi  na kufanya maandamano bila kibali.  Uhakiki wa dhamana wa watuhumiwa hao utafanywa leo.

0 comments:

Post a Comment