Nov 23, 2014

BINTI AKUTWA HAJITAMBUI KWENYE KICHOCHORO MJINI KAHAMA

Huyu ni msichana ambaye alikutwa katika uchochoro wa club za bar usiku kati ya galax mjini Kahama mkoani Shinyanga majira ya asubuhi saa 12 akiwa hajitambui


Baadhi ya wananchi wakijaribu kumuangalia binti huyo akiwa hana fahamu  huku akiwa katika kichochoro huku nguo zake zikiwa zimechanwa na watu wasiofamika mjini kahama.

Askari  polisi wa kituo cha polis kahama thomas munyongo akijaribu kumtambua msichana huyo  na bila mafanikio na kuomba msaada katika kituo cha polisi .

 Baadhi ya watu wakijaribu kumtambua msichana huyo .


Baadhi ya wanachi wakimchukua binti huyo kwenda kwenye gari ya polisi na kupelekwa hospital ya wilaya ya kahama .


 Msichana akiwa hospital ya wilaya kahama daktali akijaribu kumkagua kama yuko hai .

 Hivi ndivyo msichana alipochukuliwa kupelekwa hospital ya wilaya kahama kwa uchunguzi zaidi

Baadhi ya askari polisi wamtoa msichana ndani ya gari ya polisi baada ya kumfikisha hospital ya wilaya kahama
.
Hivi karibuni mkuu wa wilaya ya kahama Benson Mpesya alipinga marufuku biashara ya ngono katika wilaya yake. kutokana wasichana wengi kufanya biashara hiyo haramu .
Aidha  wilaya kahama imekuwa ni sehemu kubwa kwa wasichana kuingia katika biashara ya ukahaba jambo ambalo linafanya wasichana  wengi kubakwa na kutupwa katika mitalo ya maji au manyumba yasio kwisha .

Picha kwa hisani ya Mohab Mtukio

0 comments:

Post a Comment