Nov 29, 2014

HELIKOPTA YAANGUKA HUKO GONGO LA MBOTO JIJINI DAR ES SALAAM,YADAIWA KUUA WATU

Muonekano wa Helikopta eneo la Gonga la Mboto jijini Dar.Wananchi wakiwa eneo la tukio baada ya Helikopta kuanguka. Helikopta imeanguka leo eneo la Gongo la Mboto, Moshi Bar jijini Dar, kuna watu wanadaiwa kufariki dunia lakini polisi hawajatoa taarifa rasmi juu ya tukio hili.

0 comments:

Post a Comment