Nov 27, 2014

Video: Tumia sekunde 15 kutazama kionjo cha Video ya ‘Tupogo Remix’ ya Ommy Dimpoz

Ni time nyingine tena, mkali Omary Faraji Nyembo a.k.a Ommy Dimpoz anarudi kwenye headlines, story zimeenea kwamba jamaa anaachia video yake siku ya kesho, lakini unajua mambo mawili ambayo nataka nikufahamishe leo?

Kwanza ni kwamba tumeona mastaa wengi Bongo na East Africa kwa ujumla wanapaa na kwenda kufanya video kali nje ya nchi, lakini Ommy kaifanya hii hapahapa Tz ambapo Director Adam Juma amehusika kwa 100% kuifanikisha.

0 comments:

Post a Comment