Nov 18, 2014

Wasanii Iringa watengeneza kamati ya kualibu show ya Diamond Platnumz katika Show ya Mtikisiko


Wasanii Iringa watengeneza kamati ya kualibu show ya Diamond Platnumz katika Show ya Mtikisiko Nov 22, kifo cha Geez Mabovu chawa sababu.
Diamond Platnumz
Heat maker wa Mdogo mdogo maarufu kwa jina la diamond platnumz amepigwa marufuku na wasanii wa kizazi kipya mkoani iringa kwa kile kilichozaniwa kuwa diamond hana msaada wowote kwao wao kama wasanii, Ishue nzima ni msiba wa mwanamuziki wa miondoko ya hip hop maarufu kwa jina la Geez mabovu wamekasirishwa na kitendo cha Diamond kutokuandika chochote katika account zake za mitandao ya kijamii wala kutoa tamko lolote kama ameguswa na kifo cha msanii Geez mabovu wakati katika harakati za kutafuta nafasi ya kutoka kimuziki Diamond alimuomba Geez mabovu kufanya nae nyimbo ambapo
walifanikiwa kufanya nyimbo ya pamoja ambayo ilikua inaitwa Jisachi na ndo nyimbo inasemekana ilimfungulia milango ya kufanikiwa kimuziki msanii Diamond, Licha ya Diamond kupata mualiko wa kufanya show mkoani Iringa baadhi ya wasanii mkoani hapo wamepanga kuaribu kwa makusudi show ya Diamond amboyo imeandaliwa na kituo cha redio cha Ebony fm kilichopo mkoani hapo iringa, moja kati ya wasanii wenye njama ya kutaka kumualibia Diamond anaitwa Najo mkali ameandika katika ukurasa wake wa facebook yafuatayo.

Najo mkali JISACHI ni kati ya ngoma ya kwanza ya DIAMOND PLTNUM leo hii nasikia unakuja IRINGA kufanya nn, wakati hujaonesha mchango wowote, tena hujapost ki2 kwa page yako kuonyesha kuwa alikua ni mtu muhimu kwako, watu muhimu kamaWEUSI walikuwepo ww nan bwanaa mi kama muasisi nimefanya ngoma ya kumuenzi ndani SAMPAMBA MUSIC WW VIPI?
CHANZO: djjonamusic.blogspot.com

0 comments:

Post a Comment