Dec 20, 2014

AUAWA KISHA MWILI WAKE KUTELEKEZWA SHAMBANI

Mtu mmoja amekutwa kando kando ya mto wa Ilolo uliopo jijini Mbeya akiwa amepoteza maisha kutokana na watu wasiojulikana na kumtelekeza kando kando ya mto,mpaka sasa hajatambulika ni nani na ni mkazi wa wapi.tukio hilo lilitokea juzi

  Wananchi wakiwa eneo la tukioBaadhi ya wakazi wa eneo hilo wakizodhadhiana juu ya tukio hilo,la mauaji lililo tokea mtaa huo.


Picha na Fadhiri Atick mr pengo globu ya jamii Mbeya

0 comments:

Post a Comment