Dec 20, 2014

HAWA NDIO WANAONGOZA KUWA NA FANSI WENGI TANZANIA


Robin van Persie ndiye mtu mashuhuri ambaye si Mtanzania mwenye Fans wengi kwenye Facebook toka Tanzania.

Salim Kikeke anaongoza kuwa Mtanzania mashuhuri mwenye Fans wengi toka Tanzania, zaidi ya 92% ya fans wake wanatoka Tanzania. Lady Jaydee ni 63% na Diamond ni 59%.

Hizi takwiimu ni muhimu kwenye kujipanga / kujua mgawanyo wa Fans wako.


0 comments:

Post a Comment