Dec 30, 2014

Itazame hapa video mpya ya Ney wa Mitego?

Star ambaye ukubwa wa jina lake umetokana kwenye single kadhaa, zipo ambazo amekuwa ametaja watu majina moja kwa moja bila kuogopa, amerudi tena na hii ambayo ni video ya single yake mpya inayoitwa Akadumba.

Producer aliyeshiriki kwenye wimbo huu anaitwa Mr. T Touch ambaye ameshiriki pia kwenye single kadhaa za Ney, Video imetenegezwa na Director Kevin Bosco Jr. ,karibu uitazame.
Bonyeza play kutazama.

0 comments:

Post a Comment