Dec 20, 2014

MASOGANGE NA SKENDO YA UTAPELI.....


Agnes Jerald 'Masogange' 

Stori: Imelda Mtema
VIDEO Queen matata Bongo, Agnes Jerald 'Masogange' amefungua mdomo wake na kuwaka kuwa anachukizwa na tabia ya baadhi ya watu ambao wanatumia jina lake kutapeli kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook.Akizungumza na mwanahabari wetu, Masogange alisema kuwa watu wanaotumia jina lake wakome
kwa sababu wanamjengea hisia tofauti kwa watu wakati yeye hanufaiki na chochote.
"Kwa kweli inauma sana mtu...
                                                                                                               
CHANZO:GLOBAL PUBLISHERS

0 comments:

Post a Comment