Dec 1, 2014

Post Ya Diamond Platnumz Kuhusu Kuimba Kwenye #WeAreTheWorldAfrica Na Picha Za Video Ya Wimbo Huu.Diamond alikuwa South Africa hivi karibuni kwenye jumba la Big Brother na kwenye Tuzo za Channel O za Video za 2014. Kabla ya tuzo hizo Diamond aliweka post ikiwa na ujumbe kuwa anawakilisha Tanzania kwenye wimbo wa Africa All Star wa #WeAreTheWorldAfrica.

0 comments:

Post a Comment