Dec 3, 2014

Video,Mapokezi Ya Diamond Platnumz,Kuanzia Airport Mpaka Escape One

Diamond Platnumz jana  December 2 2014 amewasili Tanzania kutoka Afrika Kusini akiwa na tuzo tatu kutoka Channel O, Tuzo zilifanyika Johannesburg na Mtanzania mwenzetu Diamond Platnumz alikuwa akiwania tuzo nne kwenye vipengele tofauti na kushinda tatu ambazo ni Most Gifted EastAfrica, Most Gifted Afro Pop na Most Gifted Newcomer.
Hii video ya msafara wake, mashabiki na alivyobadilisha ratiba ili kuppita Kariakoo.

0 comments:

Post a Comment