Dec 13, 2014

WANASANA WAKIFANYA MAPENZI,MWENYE MKE ANADAI MILION 60 AWANASUE

Jana Bunju B  jijini Dar es salaam iliingia katika vichwa vya habari  kila kona kutokana na kutokea kwa matukio mawili  yaliyovuta mkusanyiko wa watu na minong'ono kila kona , baada ya lile tukio la gari aina ya Land Cruiser VX kuchomwa moto na wananchi baada ya kusababisha ajali na kuua watu watatu walio kuwa kwenye boda boda wamebebwa kama mshikaki.

Basi unaambiwa,jioni yake palitokea tukio la ajabu ambapo watu wawili mwanaume na mwanamke walio kuwa wakifanya mapenzi gesti kunasana na kushindwa kuachana mpaka walipoanza kupiga kelele na mhudumu na watu wengine kulazimika kuvunja mlango wa gesti na kuita polisi.

Polisi walikuja kuwachukua na Kuwapeleka kituo cha polisi cha Bunju Usalama huku wakiwa  bado wamenasana.

 Inasemekana mwanamke ni mke wa mtu hivyo mpaka inafika  saa moja ssiku shuhuda wetu alipoondoka eneo la tukio inasemekana polisi walikuwa wanamsubiri mwenye mke ili awanasue.

Pia kulikuwa na taarifa kuwa jamaa mwenye mke anadai milioni Sitini ili awanasue...

Taarifa zaidi tutakuletea  baadaye..........

0 comments:

Post a Comment