Jan 23, 2015

Cheki orodha ya wacheza mpira 10 wenye mijengo yenye gharama zaidi duniani

Kwa mujibu wa Richest Lifestyles Kiungo mahiri wa club za Chelsea raia wa Ivory Coast Didier Drogba, ndio anaongoza orodha ya kuwa na nyumba yenge gharama kubwa zaidi katika wachezaji wa mpira duniani. Unaambiwa nyumba yake (Icheki pichani chini) ina ukubwa wa square mita 8600 ikiwa na mabafu 8 na vymba 7 ukiachilia mbali mazagazaga kibao ndani yake!

Cheki orodha wa wachezaji mpira 10 wenye nyumba za gharama zaidi duniani iliyoongozwa na Drogba-->>

 1- Didier Drogba


 2. David Beckham - Beckingham Palace - $20million


 3. Wayne Rooney - $17.83million
 4. Frank Lampard $10million

 5. John Terry- $7million
 6. Cristiano Ronaldo (6 million)
 7. Mario Balotelli - $4.86
 8. Andres Iniesta - $4.6million
 9: Kaka's home in Madrid ($3million)

0 comments:

Post a Comment