Jan 7, 2015

JE HILI NI TUSI KWA DIAMOND PLATINUMZ KUTOKA KWA


Davido kamtukana Diamondplutnumz eti kisa hana shukurani nay eye ndio alimsaidia kumpadisha kimuziki mpaka kujulikana dunia nzima.

Hatukatai kuwa Davido kachangia pakubwa kwa Diamond toka walivyo rekodi ile remix ya NGOLOLO na kiukweli ilimfikisha Diamondplatinumz mpaka BET.

Lakini kwanini Davido anakuwa na wivu wa kupindukia?? Anataka Diamond amshukuru vipi?? Kwasababu visa vya Davido vilianza toka Diamond alivyo nyakuwa tuzo 3 za Channel O mwishoni mwa mwaka jana na kufuatia ushindi wa Idris Sultan wa BIG BROTHER Davido aliandika kwenye mitandao ya kijamii kuwa “THEY CHEAT AGAIN” na baada ya hapo aliendelea kuandika mengi ya kuonyesha kuwa hajafurahia ushindi wa Diamond na IDRIS Sultan.

Sasa na jana ndio kaja na hizo post hapo juu. Akimaanisha Diamond hana shukurani, na hii nibaada ya Diamond kualikwa kuperfom kwenye tuzo za wanasoka bora Afrika.

0 comments:

Post a Comment