Jan 11, 2015

Kuhusu ajali aliyopata Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi.


jana january 10 kupitia mitandao na blogs tofauti zimeenea taarifa na picha za ajali ya Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi.

Taarifa nilizopokea mpaka sasa kuhusu ajali hii ni kwamba mhe Mbilinyi amepata ajali akielekea Dar es salaam kwenye kona kali iliyopo eneo la Kitonga, Iringa akiwa na watu wanne kwenye gari moja.


Matukiodaima.co.tz wamesema hakuna mtu aliyepoteza maisha waka kupata majeraha yeyote makubwa. Kamanda wa Polisi wa Iringa, Ramadhani Mungi amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo leo.

0 comments:

Post a Comment