Jan 25, 2015

Mwanafunzi kidato cha pili ajifungua kwenye dala dala, ni baada ya kumeza dawa za kutoa mimba

Mwanafunzi wa Shule moja ya sekondari Jijini Dar es Salaam kajifungua kwenye daladala Maeneo ya azizi ally baada ya kumeza dawa za kutoa mimba,
Kwa lugha nyingine Tunaweza kusema mwanafunzi huyo amefanya Abortion kwani Kichanga hicho kinakadiriwa kuwa na Miezi mitatu au Minne hivi.
mwanafunzi huyo inasemekana anasoma kidato cha pili katika Moja ya shule Jijini Dar....

0 comments:

Post a Comment