Jan 23, 2015

Picha ya utata ya Wizkid..mmh!

Kijana mdogo anayefanya makubwa kwenye muziki barani Afrika akiwa natokea nchini Nigeria Wizkid amezua maswali baada ya kusambaa kwa picha inayomuonyesha akiwa kampaka kihasara mwanadada kwenye kiti huku dada huyo akiwa kavaa kihasara pia! Je ni video mpya inakuja au ndio wifi/sheeji yetu? swali halijapata jibu bado

0 comments:

Post a Comment