Jan 31, 2015

Video,Msanii Wa Injili Rose Muhando Akimsifia Msanii H.Baba Kwa Shows zake.Nijambo la kufuatilia pale mtu mkubwa anayegusa jamii ya watu wengi Tanzania ‘Rose Muhando’ anapoamua kusema msanii gani wa bongo fleva anayemkubali na kukubali kazi yake anapokuwa jukwaani.

Hii video ya Rose Muhando akimzungumzia H Baba, bonyeza play kutazama na kusikiliza0 comments:

Post a Comment