Feb 25, 2015

Nuh Mziwanda na Shilole wana wapiga picha wakiwa Vifua wazi


Wasanii Nuh Mziwanda na mpenzi wake Shilole ambao weekend iliyopita walifanya show yao pamoja maisha club wametumia instagram kujaribu kuanya kinachofanywa na mastaa tofauti duniani kupata attention ya watu. Picha ya Nuh na Shilole wakiwa kwenye pozi la mahaba na Shilole akionekana nila nguo kifuani.

0 comments:

Post a Comment