Mar 23, 2015

Nyumba ya Diamond ina choo chenye dhahabu (70m), gypsum customised na jina lake, pool, baa nk (picha), ni nyumba yake ya 10!Diamond Platnumz amekasirika.


Diamond akiwa kwenye choo/bafu la ikulu yake kama anavyoiita. Dhahabu halisi zilizowekwa kwenye choo hicho zina thamani ya shilingi milioni 70
“In my 70Million Pure Gold plated toillet…pupping and Movies Lol!emoji..i can’t wait to play dirty game with her tonight emoji IN THE MAKING OF STATE HOUSE!!!.. I can’t wai for the State house to Be Done,” ameandika.


Staa huyo wa ‘Number One’ Jumapili hii aliamua kudhihirisha utajiri wake kwa kuonesha nyumba yake ya kifahari iliyopo Tegeta jijini Dar es Salaam. Nyumba hiyo anayoiita ‘state house’ na ambayo anasema ni yake 10 sasa, imepambwa kistaa.


Jiko

Katika picha nyingine, Diamond ameonesha gypsum kwenye chumba chake ambayo imeandikwa jina lake ‘Diamond Platnumz’.


“The view of my Custom made designer Gypsum Ceiling from my Bed,” ameandika.


Kwenye nyumba hiyo Diamond amesema kutakuwepo pia ukumbi wa kuchezea muziki, gym, studio, eneo la kuchezea darts na uwanja wa mpira wa kikapu.

“A year ago| Three weeks ago…. The Making of the State House!!!! My 10th House!..By the way Don’t get twisted, das jus a Pool area #Gym #Jaccuzi #Counter #DancingHall #Studio #DartsCourt #BasketballCourt Etc,” ameandika.

0 comments:

Post a Comment