Apr 3, 2015

YOUNG KILLER AKANA DEMU WAKE KUWA CHINI YA 18

MSANII wa muziki wa Hip Hop Bongo, Erick Msodoki ‘Young Killer’ amekanusha madai kuwa demu wake anayejulikana kwa jina la Halimaty ana miaka chini ya 18.Akipiga stori na Ijumaa kuhusiana na ishu hiyo, Young Killer anashangaa watu kudai demu wake huyo ni ‘under age’ wakati ukweli ana miaka 20.

Msanii wa muziki wa Hip Hop Bongo, Erick Msodoki ‘Young Killer’ akiwa na demu wake.

“Mpenzi wangu ana miaka 20 na siyo kwamba eti nimemchukua kihuni tu mtaani, hapana! Nimempata kwa ridhaa ya wazazi wake sasa nashangaa hizo tuhuma zinatokea wapi,” alisema Young Killer

0 comments:

Post a Comment